RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

DK.SHEIN AMEFUNGUA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa suala la kupambana na rushwa lina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika…

Soma Zaidi

Mwani bei juu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wakulima wa mwani hasa akina mama kufanya subira huku Serikali yao ikitafuta mwarobaini wa bei ya mwani ikiwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein,kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi watambue kuwa kuna uhaba mkubwa wa mchanga hivi sasa hapa Zanzibar kutokana na uchimbaji mbaya wa…

Soma Zaidi

Kazi za ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi imeanza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kazi za ujenzi wa Bandari ya Mafuta na Gesi katika eneo la Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, zimeanza.Amesema…

Soma Zaidi

Uzinduzi wa Skuli ya Kijini Matemwe Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema uzinduzi wa vyumba vya madarsa ya skuli ya Sekondari Kijini, una mnasaba mkubwa na utekelezaji wa Ilani ya…

Soma Zaidi

MAJUMUISHO YA ZIARA YA DK. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI ‘B’ UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za chama na serikali zilizotekelezwa katika Wilaya ya Magharibi…

Soma Zaidi

MAJUMUISHO YA ZIARA YA DK. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI ‘A’ UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa migogoro ya ardhi iliyopo katika Wilaya ya Magharibi A, inachingiwa na baadhi ya viongozi wa Wilaya hiyo…

Soma Zaidi