DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KAMISHENI YA UTALII.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza haja ya Kamisheni ya Utalii kutoa elimu ya historia ya Utalii hapa Zanzibar ili kuujua unakotoka na unakokwenda…
Soma Zaidi