RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid waki

Dk. Ali Mohamed Shein ameridhia Maonyesho ya Utalii Zanzibar yaendelee kufanyika kila mwaka

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameridhia Maonyesho ya Utalii Zanzibar yaendelee kufanyika kila mwaka kwa lengo la kuendelea kuitangaza Zanzibar katika…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yanayofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar

UFUNGUZI WA MAONESHO YA UTALII ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kwamba maonyesho ya Utalii yanayofanyika Zanzibar ni muhimu kwa Serikali na wananchi kwa kuwa yamelenga kuitangaza…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu y

KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinatekeleza kwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein amesisitiza ushirikiano na uhusiano wa kihistoria kati ya Uganda na Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kihistoria kati ya Uganda na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pe

UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa jamii kuwa na uhakika wa chakula na lishe bora kwa sababu hio ndio nguzo imara…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping kwa kutimiza miaka 69 tokea kuundwa kwa Taifa…

Soma Zaidi

Serikali ya Zanzibar itaendelea kutoa mashirikiano na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa mashirikiano kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa…

Soma Zaidi

Dk.Shein amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere…

Soma Zaidi