Matarajio ya Zanzibar ni kuona ushirikiano kati yake na nchi hiyo Japani unaimarika zaidi .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutaka na Balozi mpya wa Japan nchini Mheshimiwa Masaharu Yoshinda na kumueleza kuwa matarajio ya Zanzibar ni…

Soma Zaidi

Dk.Shein asisitiza dhamira ya Zanzibar kutekeleza makubaliano ya ushirikiano na Muungano wa Comoro

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati yake na Serikali…

Soma Zaidi

Wananchi wa Mkanyageni wamepongeza juhudi kubwa zilizochukuliwa na Dk. Shein

WANANCHI wa Mkanyageni, Mkoa wa Kusini Pemba wamepongeza juhudi kubwa zilizochukuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein za kuhakikisha amani,…

Soma Zaidi

Dk.Shein aliungana pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliungana pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum aliyowaandalia, ikiwa ni miongoni mwa…

Soma Zaidi

Jiepusha kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani hakuna aliye juu ya sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakumbusha wananchi kujiepusha kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani na kusisitiza kuwa atakayefanya hivyo atakumbana…

Soma Zaidi

Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha…

Soma Zaidi

Chama cha Mapinduzi kimejenga imani kubwa kwa Umoja wa Vijana wa chama hicho

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama cha Mapinduzi kimejenga imani kubwa kwa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) na kuwa maratajio yake…

Soma Zaidi

Dk.Shein amechukua fomu ya kuomba Urais wa Zanzibar.

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi…

Soma Zaidi