Wananchi wametakiwa kushiriki na kuonesha mshikamano katika sherehe za miaka50 ya Mapinduzi ya Z’bar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kushiriki kikamilifu na kuonesha umoja na mshikamano walionao katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi…
Soma Zaidi