Mafanikio yatapatikana kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema rasilimali zao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kupatikana katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema…

Soma Zaidi

Dk.Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo…

Soma Zaidi

Serikali ya India imetakiwa kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza haja kwa Serikali ya India kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma wa kuwaleta madaktari bigwa…

Soma Zaidi

Wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii, kutokana na nchi hiyo…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Ali Mohamed Shein,amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe:Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Bwana Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja.

Soma Zaidi

Uholanzi itazidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii

UHOLANZI imeeleza azma ya kuzidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika kuimarisha sekta ya utalii na kusisitiza kuwa tayari mashirika ya ndege kutoka nchini humo likiwemo Shirika…

Soma Zaidi

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM,Mhe:Dkt.Ali Mohamed Shein,kwenye Baraza la Idd el Hajj 26 Oct2012

Bismillah Rahman Rahim Shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu, Subhanahu Wataala, Aliyetupa uhai na uzima tulionao tukaweza kuitikia wito wake, alioutoa tangu zama za Nabii Ibrahim (AS).…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewaapisha baadhi ya Watendaji Wakuu wa SMZ aliowateua hivi karibuni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha baadhi ya Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar aliowateua hivi karibuni.Katika hafla…

Soma Zaidi