Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemhakikishia Balozi wa Uingereza nchini Tanzania kuwa Serikali ya Zanzibar iko tayari kushirikiana na Nutri-Sun Limited kukamilisha mradi wa Kiwanda cha Mwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amemhakikishia Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Conar na ujumbe wake kuwa Serikali ya Zanzibar…
Soma Zaidi