Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya Dunia kwa jitidaha zake za kuendelea kuziunga mkono Tanzania kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya Dunia kwa jitidaha zake za kuendelea kuziunga mkono Tanzania kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.Rais…
Soma Zaidi