Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia elimu zao, kuchangia Maendeleo ya nchi kwa nafasi mbalimbali za taaluma zao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia elimu zao, kuchangia Maendeleo ya nchi kwa nafasi mbalimbali za taaluma…
Read More