Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakumbusha viongozi wote waliotajwa kwenye Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa mujibu wa vyeo na nafasi zao kuhakikisha wanajaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakumbusha viongozi wote waliotajwa kwenye Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa mujibu wa vyeo na nafasi…
Soma Zaidi