Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza hatua na mwendelezo wa ujenzi wa viwanja vya michezo, Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza hatua na mwendelezo wa ujenzi wa viwanja vya michezo, Amani.Dk. Mwinyi, alitoa pongezi hizo alipofanya…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuwalipa fidia ya vipando na majengo wananchi wote wa eneo la Bumbwini waliopitiwa na mradi wa barabara na ujenzi wa bandari jumuishi ya Mangapwani

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuwalipa fidia ya vipando na majengo wananchi wote wa eneo la Bumbwini waliopitiwa na mradi wa barabara na ujenzi wa bandari jumuishi ya Mangapwani.Rais…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano mzuri uliopo baina ya Zanzibar na India umenedelea kuimarika

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano mzuri uliopo baina ya Zanzibar na India umenedelea kuimarika.Amesema, mbali na ushirikiano wakaribu…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha Zanzibar wafanyabiashara wakubwa na wenye viwanda kutoka China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha Zanzibar wafanyabiashara wakubwa na wenye viwanda kutoka China. Akizungumza na Makamo Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi