Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya nchi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapa pole wananchi wote walioathiriwa na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi, ameshukuru ushirikiano wa karibu uliopo baina ya Tanzania hususani Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, ameshukuru ushirikiano wa karibu uliopo baina ya Tanzania hususani Zanzibar, na Benki ya Dunia (WB), Umoja wa Ulaya…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha India nchini ni utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2050

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema ufunguzi wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha India nchini ni utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar ya…

Soma Zaidi