Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar, itasaidia kuondoa matatizo ya afya yanayowakabili wananchi

Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar,…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Tanzania ikiwemo Zanzibar kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Tanzania ikiwemo Zanzibar kwenye masuala mbalimbali…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema daima inaungamkono jitihada za wadau wa mendendeleo nchini na kwamba inathamini michango na huduma wanazozitoa kwa Serikali na wananchi kwa ujumla

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema daima inaungamkono jitihada za wadau wa mendendeleo nchini na kwamba inathamini michango na huduma wanazozitoa kwa Serikali na wananchi kwa ujumla.Rais…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema bara la Afrika lina kila sababu ya kujivunia mafanikio makubwa waliyonayo na kuyaendeleza kwa kutumia ubunifu, utekelezaji wa Sera na mikakati iliyojiwekea kwa maendele

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema bara la Afrika lina kila sababu ya kujivunia mafanikio makubwa waliyonayo na kuyaendeleza kwa kutumia ubunifu,…

Soma Zaidi

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameinasihi jamii kuongeza upendo na ushirikiano hasa kwenye makundi maalum na kuwasaidi kwa kila hali.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameinasihi jamii kuongeza upendo na ushirikiano hasa kwenye makundi maalum na kuwasaidi kwa kila hali.Al…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini.Dk. Mwinyi aliyasema hayo kwenye…

Soma Zaidi