Dk.Hussein Mwinyi, amezitaka taasisi zote zinazohusiana na usimamizi wa sekta ya Utalii nchini, kuhakikisha wajasiriamali wa ndani wanapewa kipaumbale kunufaika na fursa zinazopatikana kwenyeUtalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka taasisi zote zinazohusiana na usimamizi wa sekta ya Utalii nchini, kuhakikisha wajasiriamali wa ndani wanapewa…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini. Dk. Mwinyi aliyasema hayo kwenye…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufuatia kuteuliwa kwao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kufuatia kuteuliwa kwao na…

Soma Zaidi

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar, itasaidia kuondoa matatizo ya afya yanayowakabili wananchi

Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi amesema hatua ya wadau wa afya kuweka kambi za matibabu Zanzibar,…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Tanzania ikiwemo Zanzibar kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Tanzania ikiwemo Zanzibar kwenye masuala mbalimbali…

Soma Zaidi