Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kukiendeleza chama hicho.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha…
Soma Zaidi