Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kukiendeleza chama hicho.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza dhamira yake ya kuzihuisha mali zinazomilikiwa na chama cha…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kukijenga chama kiuchumi kwa kuimarisha miundombinu wezeshi ya utendaji kwa watendaji wake ili kuboresha ufanisi ndani ya chama hicho

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kukijenga chama kiuchumi kwa kuimarisha miundombinu wezeshi ya…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajukumu kubwa la kuzifanyia kazi takwimu za Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022, ili kujipanga na utekelezaji wa mipango ya maendeleo,

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajukumu kubwa la kuzifanyia kazi takwimu za Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022, ili kujipanga na utekelezaji wa mipango ya maendeleo, kiuchumi…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itajitahidi kutoa msaada kwa kadri itakavyowezekana kwa taasisi zilizobeba dhima ya kuwasafirisha mahujaji kwaajili ya ibada ya Hijja,

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itajitahidi kutoa msaada kwa kadri itakavyowezekana kwa taasisi zilizobeba dhima ya kuwasafirisha mahujaji kwaajili ya ibada ya Hijja, kupitia taasisi…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya dhati ya kujinufaisha zaidi na matunda ya baharini kupitia sera yake ya Uchumi wa buluu kwa kuvuna mengi zaidi kuliko inavyoendelea kunufaika.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ina nia ya dhati ya kujinufaisha zaidi na matunda ya baharini kupitia sera yake ya Uchumi wa buluu kwa kuvuna mengi zaidi kuliko inavyoendelea kunufaika…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka kipaumbele zaidi kuimaisha miundombinu ikiwemo barabara safi zenye kiwango cha lami kwa mji miji yote ya Zanzibar ili kurahisisha sekta ya biashara

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka kipaumbele zaidi kuimaisha miundombinu ikiwemo barabara safi zenye kiwango cha lami kwa mji miji yote ya Zanzibar ili kurahisisha sekta ya biashara…

Soma Zaidi