Dk.Hussein Mwinyi amezitaka Mahakama Kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika kwa lengo la kudumisha juhudi za Mahakama hizo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi azitaka mahakama kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa Msikiti mpya wa Masjid Fatma Kilimani umesadifu mipango ya Serikali ya kubadili mandhari ya mji wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa msikiti mpya wa Masjid Fatma Kilimani umesadifu mipango ya Serikali ya kubadili mandhari…

Read More