Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea nchini Burundi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Burundi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya nchi hiyo zinazotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Mwinyi amemuapisha Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla pamoja na Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amemuapisha Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla pamoja na Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, kufuatia…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya,Elimu na Ustawi wa Jamii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa kufanyika kwa Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,utainufaisha sana Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa kufanyika kwa Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika, utainufaisha sana Zanzibar…

Soma Zaidi