Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wajumbe wapya wa Tume ya Mipango ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wajumbe wapya wa Tume ya Mipango ya Zanzibar.Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki kufuatia kula samaki wa aina ya kasa anayesadikiwa kuwa na sumu huko Matemwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki kufuatia kula samaki wa aina ya kasa anayesadikiwa…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewahakikishia vijana kwamba ataendelea kuwaunga mkono katika kusukuma mbele maendeleo endelevu.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewahakikishia vijana kwamba ataendelea kuwaunga mkono katika kusukuma mbele maendeleo endelevu.Mama mariam Mwinyi ameyaswema hayo leo wakati akitoa…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na mamia ya wananchi katika maziko ya mwanasiasa maarufu Issa Kassim Issa ‘Baharia’,katika kijiji cha Uroa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na mamia ya wananchi katika maziko ya mwanasiasa maarufu Issa Kassim Issa ‘Baharia’ yaliofanyika…

Soma Zaidi