Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewashukuru wananchi wenye uwezo mbao wamejitolea kuwasaidia wananchi maskini na wale wanaoishi katika mazingira magumu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewashukuru wananchi wenye uwezo mbao wamejitolea kuwasaidia wananchi maskini na wale wanaoishi katika mazingira…

Soma Zaidi

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewanasihi waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuimarisha ibada pamoja na kutoa sadaka kwa wingi katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewanasihi waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuimarisha ibada pamoja na kutoa sadaka kwa wingi katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani hasa katika…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafurahi kufanya kazi na wawekezaji katika miradi mbali mbali iliomo katika sekta ya Uchumi wa Buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafurahi kufanya kazi na wawekezaji katika miradi mbali mbali iliomo katika sekta ya Uchumi wa Buluu.Dk.…

Soma Zaidi