Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jitihada za kuwasomesha vijana quraan zinapaswa kulenga katika mafundisho ya tafsiri ya aya zinazofundishwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jitihada za kuwasomesha vijana quraan zinapaswa kulenga katika mafundisho ya tafsiri ya aya zinazofundishwa.Alhaj…

Read More

RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa ahadi ya Serikali katika kuimarisha maslahi ya madaktari, wahudumu na wafanyakazi wa kada ya Afya nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa ahadi ya Serikali katika kuimarisha maslahi ya madaktari, wahudumu na wafanyakazi wa kada ya…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kukumbushana na kuwahamasisha watu wenye uwezo; kutoa sadaka zao kwa watu wenye uwezo duni.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kukumbushana na kuwahamasisha watu wenye uwezo; kutoa sadaka zao kwa watu wenye…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kuhamasishana kushiriki katika mashindano mbali mbali ya Quraan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kuhamasishana kushiriki katika mashindano mbali mbali ya Quraan katika mwezi huu…

Read More