Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine ya ibada na fadhila za kusoma Qur’an ndani ya mwezi huu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine…
Soma Zaidi