Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Opec Fund Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund) wa kuendela kuiunga mkono…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wanasiasa na wanachi kuangalia maneno wanayotoa midomoni mwao na athari zake kwa usalama wa nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wanasiasa na wanachi kuangalia maneno wanayotoa midomoni mwao na athari zake kwa usalama wa nchi na mustakabali…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Balir kwa kutekekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Balir kwa kutekekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuendelea kuiunga…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanaCCM kujibu hoja kwa vitendo badala ya maneno kwani wanadhima kubwa ya kuendeleza amani iliyopo nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanaCCM kujibu hoja kwa vitendo badala ya maneno kwani wanadhima kubwa ya kuendeleza amani iliyopo nchini.Rais…

Soma Zaidi