Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ya kujenga Kampasi ya Chuo hicho hapa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ya kujenga Kampasi ya Chuo hicho hapa Zanzibar.Rais Dk. Mwinyi…

Soma Zaidi

Kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

UTARATIBU wa kuandaa Kongamano la kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ni fursa ya kujifunza historia, hekima na uzalendo…

Soma Zaidi