Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza Wanachama wa Chama hicho pamoja na waislamu kwa ujumla kuendelea kukithirisha ibada kwa siku chache zilizobakia za Mfungo mtukufu wa Mwezi wa Ramadhani
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahimiza Wanachama wa Chama hicho pamoja na…
Soma Zaidi