News and Events

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar katika kuendeleza shughuli za maendeleo… Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kuliombea dua Taifa, wakati huu Dunia ikikabiliwa na msukosuko wa kiuchumi unaotokana na vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukrane.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kuliombea dua Taifa, wakati huu Dunia ikikabiliwa na msukosuko wa kiuchumi unaotokana na vita vinavyoendelea… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza juhudi zinazochukuliwa na uongozi wa Eneo Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA),

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza juhudi zinazochukuliwa na uongozi wa Eneo Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA), katika kuhakikisha nchi wanachama zinashirikiana… Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa maisha ya Al Habib Ahmad Bin Summait yanafundisha kwamba elimu inatafutwa na mwenye kuipata ana wajibu wa kuifundisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa maisha ya Al Habib Ahmad Bin Summait yanafundisha kwamba elimu inatafutwa na mwenye kuipata ana wajibu wa kuifundisha… Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Timu ya Madaktari wabobezi kupitia Mashirika ya Peleks na Direct Aid Zanzibar kwa kuanzisha utaratibu wa kuja Zanzibar kusaidia huduma za tiba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Timu ya Madaktari wabobezi kupitia Mashirika ya Peleks na Direct Aid Zanzibar kwa kuanzisha utaratibu wa kuja Zanzibar… Read More