Dk. Hussein Ali Mwinyi amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China za kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezipongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China za kuiunga mkono Zanzibar katika…
Soma Zaidi