Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Taasisi ya Iyilik dernegi kutoka nchini Uturuki kwa azma yake ya kuifanya Zanzibar kuwa kituo kikuu cha kuandaa utekelezaji wa miradi yote kwa nchi za Afrika.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Taasisi ya Iyilik dernegi kutoka nchini Uturuki kwa azma yake ya kuifanya Zanzibar kuwa kituo kikuu cha…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa kwa baadhi ya watumishi wa umma waliopewa dhamana kukosa uadilifu na kusababisha mapato ya Serikali kuingia mifukoni mwao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa kwa baadhi ya watumishi wa umma waliopewa dhamana kukosa uadilifu…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amejumuika na Viongozi mbali mbali wa kitaifa na Chama cha Mapinduzi pamoja na mamia ya wananchi katika maziko ya Kaka yake Hassan Ali Mwinyi yaliofanyika Mangapwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amejumuika na Viongozi mbali mbali wa kitaifa na Chama cha Mapinduzi pamoja na mamia ya wananchi katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ushiriki wa Taasisi zisizo za kiserikali katika uimarishaji wa huduma za Kijamii ni muhimu, kwa kuzingatia kuwa Serikali haina uwezo wa kuwafikia wananchi wote

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ushiriki wa Taasisi zisizo za kiserikali katika uimarishaji wa huduma za Kijamii ni muhimu, kwa kuzingatia…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo ya Nchi na Jumuiya mbali mbali katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, yanapaswa kwenda sambamba na upangaji na utekelezaji wa mipango ya kuimarisha huduma za Bima

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo ya Nchi na Jumuiya mbali mbali katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, yanapaswa kwenda sambamba na upangaji…

Read More