Ikulu Blog

Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) imepokea vifaa vya Uvuvi.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa  boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa  kamba na life Jacket ambavo vinaenda sambamba na boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket,ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation "ZMBF" (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa   boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akibadilishana hati na  Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini, katika hafla ya  kukabidhi msaada wa  boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa   boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi,pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa   boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Taifa (UVCCM) Ndg.Mohamed Ali Kawaidi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa (UVCCM) kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 13-12-2022,na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi.Rehema Sombi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-12-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua rasmin studio za Wasafi-Fm Zanzibar 88.9

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond), Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Idrisa Kitwana Mustafa(kushoto), Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wapili kulia) na  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe,Tabia Maulid Mwita 13/12/2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) 13/12/2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)akimkabidhi cheti cha Usajili wa  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Mkurugenzi Mkuu  Ndg,Abdul Nasib (Diamond)wakati wa hafla ya  uzinduzi rasmi wa Studio hizo zilizozinduliwa Kilimani Jijini Zanzibar 13/12/2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) akiwa katika    Ofisi za Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika uzinduzi rasmi wa Studio hizo uliofanyika Kilimani Jijini Zanzibar wakiwemo na watangazji na waandishi wa habari 13/12/2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimian a na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam 13/12/2022.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Kilimani Jijini Zanzibar mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi 13/12/2022.
  • Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) alipokuwa akizungumza na machache wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) 13/12/2022.

Tamasha la usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi viwanja vya Maisara Suleiman Unguja,tarehe 11 Disemba,2022.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwapongeza Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, baada ya kumaliza kutowa burudani katika Tamasha Maalum la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022,lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii wa vikundi mbalimbali wa Muziki wa Taraab na Bongo Fleva.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Tamasha la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM Zanzibar la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika jana usiku 11-12-2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais Mstafu wa Tanzania Mama Siti Mwinyi na (kula kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.

  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022 (kushoto) Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein 11/12/2022
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) mara baada ya kutia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili kitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki katika maeneo ya Kilimani Jijini Zanzibar leo wakati wa mapokezi akitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui kuwashukuru wanachama na Viongozi akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili leo akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejiapanga pembezoni katika barabara ya Kilimani wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki wakati wa mapokezi katika barabara ya kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui alipowasili kutokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Wananchama wa CCM Jimbo la Magomeni wakiwa katika mapokezi katika barabara ya Kutoka Kilimani kuelekea Kariakoo Jijini Zanzibar wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdaala Juma sadala (Mabodi) katika Ukumbi wa Viongozi (VIP)wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo, alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mama Siti Mwinyi pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022 (kulia) Mke wa rais wa zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu katika mapokezi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022