State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua awamu ya kwanza ya Uwekezaji wa Sukuki Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 29-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025

  • WAFANYAKAZI wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAKUU wa Wilaya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025