State House Blog

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Tume Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Tume Maisara leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • WAJUMBE Wastafu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Tume Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati alipoenda kuliweka Jiwe la msingi hapo viwanja vya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • MUNEKANO wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambalo limeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wake leo 6-1-2025 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025