Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Tume ya Maadili ya viongozi wa Umma kujiridhisha ili kubaini sababu za msingi za Viongozi 52 kushindwa kurejesha Fomu za Tamko la Rasilimali na madeni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Tume ya Maadili ya viongozi wa Umma kujiridhisha ili kubaini sababu za msingi za Viongozi 52 kushindwa…
Soma Zaidi