Media

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili aifanye dunia kuwa na amani na kuondokana na changamoto za kiuchumi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili aifanye dunia kuwa na amani na kuondokana…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inathamini na kuunga mkono misaada mbali mbali inayotolewa na Jumuiya zisizo za Kiserikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inathamini na kuunga mkono misaada mbali mbali inayotolewa na Jumuiya zisizo za Kiserikali katika…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar katika kuendeleza…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kuliombea dua Taifa, wakati huu Dunia ikikabiliwa na msukosuko wa kiuchumi unaotokana na vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukrane.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kuliombea dua Taifa, wakati huu Dunia ikikabiliwa na msukosuko wa kiuchumi unaotokana…

Read More