Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafurahi kufanya kazi na wawekezaji katika miradi mbali mbali iliomo katika sekta ya Uchumi wa Buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafurahi kufanya kazi na wawekezaji katika miradi mbali mbali iliomo katika sekta ya Uchumi wa Buluu.Dk.…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kufanya siasa za kistaarabu nchini kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa sambamba na kudumisha amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kufanya siasa za kistaarabu nchini kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa sambamba na kudumisha…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amezipongeza juhudi zinazochukuliwa na Ubalozi wa India nchini Tanzania kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi ya maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezipongeza juhudi zinazochukuliwa na Ubalozi wa India nchini Tanzania kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ataendeleza utamaduni wa muda mrefu wa kuwafutarisha wananchi katika Mikoa yote ya Zanzibar kila mwaka

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ataendeleza utamaduni wa muda mrefu wa kuwafutarisha wananchi katika Mikoa yote ya Zanzibar kila mwaka,…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jitihada za kuwasomesha vijana quraan zinapaswa kulenga katika mafundisho ya tafsiri ya aya zinazofundishwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jitihada za kuwasomesha vijana quraan zinapaswa kulenga katika mafundisho ya tafsiri ya aya zinazofundishwa.Alhaj…

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa ahadi ya Serikali katika kuimarisha maslahi ya madaktari, wahudumu na wafanyakazi wa kada ya Afya nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa ahadi ya Serikali katika kuimarisha maslahi ya madaktari, wahudumu na wafanyakazi wa kada ya…

Soma Zaidi