Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango, maendeleo ya Umoja huo pamoja na nafasi ya wanawake.

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango,…

Soma Zaidi

Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo Septemba 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Charles Blair Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo Septemba 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Charles…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi itakayobainisha maeneo…

Soma Zaidi