Media

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya kupewa kipaumbele suala zima la usafi wa Mji wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya kupewa kipaumbele suala zima la usafi wa Mji wa Zanzibar kwani bado hajaridhika na hali ya usafi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amezifariji familia ya Rubani Adil Sultan Khamis na Rubani Ashraf Abdalla Juma Mabodi kufuatia ajali ya ndege iliyotokea hivi karibuni huko Comoro.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezifariji familia ya Rubani Adil Sultan Khamis na Rubani Ashraf Abdalla Juma Mabodi kufuatia ajali ya ndege iliyotokea…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano ili kujenga mazingira mazuri ikwa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) iendelee kutoa huduma kwa wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano unaohitajika na kujenga mazingira mazuri…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wafanyabiashara kuacha kuongeza bei ya vyakula hasa katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasihi wafanyabiashara kuacha kuongeza bei ya vyakula hasa katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB) ya kuunga mkono juhudi za wajasiriamali wanawake hapa Zanzibar katika kukuza uchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB) ya kuunga mkono juhudi za wajasiriamali wanawake hapa Zanzibar…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa kwamba zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka huu 2022 litakwenda vizuri.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa kwamba zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka huu 2022 litakwenda vizuri kutokana…

Read More