Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango, maendeleo ya Umoja huo pamoja na nafasi ya wanawake.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), yatawezesha kutambua na kutathmini mchango,…
Soma Zaidi