Habari

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanya maamuzi ya makusudi ya kupunguza kodi ya sukari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanya maamuzi ya makusudi ya kupunguza kodi ya sukari ili kuondoa…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo malalamiko yanayowasilishwa na wananchi kupitia Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo malalamiko yanayowasilishwa na wananchi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na…

Soma Zaidi