Dk. Hussein Ali Mwinyi amezifariji familia ya Rubani Adil Sultan Khamis na Rubani Ashraf Abdalla Juma Mabodi kufuatia ajali ya ndege iliyotokea hivi karibuni huko Comoro.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezifariji familia ya Rubani Adil Sultan Khamis na Rubani Ashraf Abdalla Juma Mabodi kufuatia ajali ya ndege iliyotokea…
Soma Zaidi