Dkt, Hussein Ali Mwinyi amevisisitiza Vyuo Vikuu hapa Nchini kuongeza kasi ya Kufanya Tafiti nyingi zaidi zitakazosaidia kutatua Changamoto zinazoikabili Jamii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amevisisitiza Vyuo Vikuu hapa Nchini kuongeza kasi ya Kufanya Tafiti nyingi zaidi zitakazosaidia kutatua Changamoto…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amesema hakuna mbadala wa Amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna mbadala wa amani na amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuilinda na kuikuza…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amepokea Tuzo ya Zanzibar ya Africa’s Best Corporate Retreat Destination 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa taasisi na wadau wa sekta ya utalii kuongeza ushirikiano ili kuhakikisha Tanzania, ikiwemo…

Soma Zaidi