Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi wenye mitaji mikubwa kuja kuwekeza nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwiinyi amesema Serikali itaendelea kuweka Mazingira Mazuri ya Uwekezaji ili Wawekezaji wengi wenye Mitaji Mikubwa waje kuwekeza…
Read More







