Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi ametangaza Mawaziri Wateule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi wa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wateule, hatua inayolenga kuimarisha kasi ya maendeleo katika…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amezindua Baraza La 11 la Wawakilishi, atoa Mwelekeo wa Serikali Kipindi cha Pili cha Awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na kutoa mwelekeo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

RAIS Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla…

Soma Zaidi