Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo malalamiko yanayowasilishwa na wananchi kupitia Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo malalamiko yanayowasilishwa na wananchi…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuzijenga barabara zote za Mji wa Zanzibar na kuziwekea taa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuzijenga barabara zote za Mji wa Zanzibar na kuziwekea taa,…

Soma Zaidi