Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato na kuimarisha Uchumi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964,  Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu wa Awamu ya Saba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtunuku Nishani ya Mapinduzi ya mwaka 1964, Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi…

Soma Zaidi