Dk. Hussein Ali Mwinyi alikuwa mgeni rasmi katika Burudani ya muziki wa Taarabu asilia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alikuwa mgeni rasmi katika Burudani ya muziki wa Taarabu asilia, ilioandaliwa maalum kwa ajili ya maadhimisho ya kusherehekea…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza sherehe za kutimiza miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Januari 12. 1964

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza sherehe za kutimiza miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Januari 12. 1964, zilizofanyika katika uwanja wa Aman…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato na kuimarisha Uchumi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwepo kwa matumizi ya mifumo ya Kielektronik kumechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la makusanyo ya mapato…

Soma Zaidi