Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na wanafamilia, wananchi pamoja na viongozi mbali mbali katika sala na dua ya kumuombea marehemu Mzee Machano Mwadini Omar,Sheha wa Shehia ya Kwahani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na wanafamilia, wananchi pamoja na viongozi mbali mbali katika sala na dua ya kumuombea marehemu…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi amesema ufunguzi wa madarasa katika skuli ya msingi Sebleni,ni kielelezo cha dhamira ya Serikali katika kukabiliana na changamoto ya miundombinu inayozikabili skuli mbali mbali nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ufunguzi wa madarasa katika Skuli ya msingi Sebleni,ni kielelezo cha dhamira ya Serikali katika kukabiliana…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa Wawekezaji waliowekeza katika maeneo mbali mbali nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa Wawekezaji waliowekeza katika maeneo mbali mbali nchini, kwa kuwa na ushirikiano wa karibu na jamii…

Soma Zaidi