Habari

Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara katika eneo linalotarajiwa kujengwa bandari mpya ya Magapwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara katika eneo linalotarajiwa kujengwa bandari mpya ya Magapwani na kueleza kwamba Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Serikali kutunga Sera, ili kukiwezesha Chama cha Mabaharia Zanzibar (ZASU) kufanya kazi kwa taratibu na mfumo maalum.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Serikali kutunga Sera, ili kukiwezesha Chama cha Mabaharia Zanzibar (ZASU) kufanya kazi kwa…

Soma Zaidi

Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itahakikisha inasimamia kikamilifu masharti yote yatakayowekwa na Serikali ya Saud Arabia

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itahakikisha inasimamia kikamilifu masharti yote yatakayowekwa na Serikali ya Saud Arabia…

Soma Zaidi