Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itaendelea kuwaenzi na kuwatunza wazee wa nyumba za Sebleni na Welezo
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itaendelea kuwaenzi na kuwatunza wazee wa nyumba za Sebleni na Welezo pamoja na watoto…
Soma Zaidi