Habari

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar iko tayari kutekeleza mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mafuta katika eneo la Mangapwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar iko tayari kutekeleza mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mafuta katika eneo la Mangapwani.Dk. Mwinyi…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mbali ya ibada ni vyema misikiti ikatumiwa katika masuala yanayohusu jamii.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mbali ya ibada ni vyema misikiti ikatumiwa katika masuala yanayohusu jamii.Alhaj Dk Mwinyi aliyasema…

Soma Zaidi

Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuomba Mwenyezi Mungu kuwajaalia kheri na malipo mema ya swaumu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhadj Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuomba Mwenyezi Mungu kuwajaalia kheri na malipo mema ya swaumu, wananchi wa Mkoa wa Mkoa Mjini Magharibi…

Soma Zaidi

Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na kuwataka kuendelea kuiombea nchi amani.Hafla hiyo ya…

Soma Zaidi

Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba na kueleza kwamba kitendo cha kufutarisha ni utamaduni…

Soma Zaidi