UTEUZI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika leo Ikulu Jijiji…
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa uchaguzi umekwisha na umemalizika kwa salama na kilichobaki hivi sasa ni kuendelea kuidumisha na…
Soma ZaidiSALAMU za pongezi zimeendelea kutolewa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi kufuatia ushindi mkubwa wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alioupata Rais Dk. Hussein…
Soma ZaidiDk. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili katika Awamu ya Tano ya uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kushinda…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Soma Zaidi